У нас вы можете посмотреть бесплатно Ibada Ya Lunch Hour 06 - 02 - 2026 | Mch. Victor Makundi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika Ibada ya Mchana kutokea hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam SOMO: VITA VYA KIROHO VINAVYOATHIRI MAISHA YAKO ~ 1 WAKORINTHO 10: 3 - 4 3. Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; 4. Maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome .......................... LENGO LA SOMO: 🖋️ KUSHUGHULIKA NA WATU AMBAO MANAPITA MAHALI PAGUMU WAEFESO 6: 10 - 12 10. Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. 12. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. ................................................................................................................................ 👇👇👇 KWA MAOMBI NA USHAURI : ☎️ +255 748 290 290 MCH. VICTOR MAKUNDI // NAMBA ZA SADAKA // ▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4 ▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174 JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL ▶ MAENDELEO BANK A/C NO 0137 9274 6021 JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI: Instagram page: / kkkt_azaniafront_cathedral Website: https://www.azaniafront.org/ Facebook: / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079 #azaniafrontcathedral #morningprayer #lutheran ........................