У нас вы можете посмотреть бесплатно DAKIKA 40 ZA JANABI AKIMWAGA NONDO WHO KUOMBA KURA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uzoefu katika sekta ya afya, ushauri kwa jamii, uongozi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na uwezo wa kuvutia ufadhili na mikopo nafuu katika sekta ya afya ni miongoni mwa mambo aliyoyanadi Profesa Mohamed Janabi, katika mdahalo wa uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika. Profesa Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na mshauri wa Rais wa Tanzania katika masuala ya afya na lishe, anawania nafasi hiyo iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Dk Faustine Ndugulile kilichotokea Novemba 21, 2024. Profesa Janabi ametoa sera hizo leo Jumatano Aprili 2, 2025 wakati akishiriki katika mdahalo wa wagombea wa nafasi hiyo unaoendelea.