У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIARA FUPI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB CHUONI CUoM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) Dkt. Bill Kiwia ametembelea Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) leo ikiwa ni ratiba ya kutembelea Vyuo Vikuu vyote Nchini kwa ajili ya kuendeleza kuimarisha mahusiano kati ya Bodi na Vyuo na pia kujionea nafasi ya huduma ya Bodi katika kutoa Huduma ya Elimu katika Vyo Vikuu. Sanjari na hilo Mkurugenzi ameweza kujadiliana na Wakuu wa Chuo katika kutatua changamoto zilizopo na namna ya kutatua changamoto hizo. Lakini pia Dk. Bill Kiwia ameweza kutembelea kumbi za mihadhara na kuona Teknolojia zinatumika katika ufundishaji. @heslb_tanzania