У нас вы можете посмотреть бесплатно MANENO YA MKUU MPYA WA WILAYA YA SONGWE BAADA YA KUAPISWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Fadhil Nkurlu ameapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame huku akiomba ushirikiano ili kuweza kutekeleza vyema majukumu ya kuwahudumia wananchi. DC Nkurlu ameapishwa leo Jumatano Julai 2, 2025 katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe Nselewa Wilayani Mbozi. Akizungumza baada ya kuapishwa, Mhe Nkurlu amesema anaomba ushirikiano ili kuweza kutekeleza majukumu aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Nkurlu aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025 kuchukua nafasi ya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.