У нас вы можете посмотреть бесплатно Dalasa la MATUMIZI YA MBOLEA KWA KILIMO BORA cha mbogamboga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZIFAHAMU MBOLE NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO. Matumizi ya mbolea hutegemea sana na kiasi cha virutubisho kinacho kosekana katika udongo na hii hutofautiana kati ya shamba na shamba na wakati mwingine hata katika shamba moja huenda dalili zikajitokeza kwa wingi, hivyo fanya zoezi dogo la kisanyansi la kuutathimini udongo wako kwa kuangalia dalili za kuwepo kwa ukosefu wa virutubisho katka shamba lako Aina za mbolea kuna aina kuu mbili za mbolea ambazo ni- Mbolea ya viwandani Mbolea hizi kwa jina lingine huitwa mbolea za chumvi chumvi, ambazo huusisha mbolea kama NPKMbolea za moja kwa moja. Mfano wa mbolea hizi ni UREA, DAP.Mbolea za mchanganyo. Hizi ni mbolea amabzo hutumiaji wake huitaji kuchanganya na mbolea nyingine mbolea hzi ni kama, NPK - Mbolea za asili.Mbolea hizi hujumisha kama mbolea za samadi zitokaonazo katika mabanda ya ng’ombe.FAIDA ZA KUTUMIA MBOLEA- Kupata au kuongeza wingi wa mavuno shambani- Kuongeza ubora wa mazao na hivyo kuweka ushindani mzuri katika soko huria.KWA UPANDE WA MBOLEA ZA ASILI. Somo la leo,matumizi ya mbolea na kazi zake Mmea ukiwa mdogo yaan wakati unahamishia shambani unataka phosphate ili ukuze mizizi,hii ...Matumizi sahihi ya mbolea na mbinu nyingine za kilimo nchini ...ZIFAHAMU MBOLE NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA kilimo cha mbogambogaMbolea ya Urea: matumizi Ongeza Mavuno Kwa Matumizi Sahihi ya MboleaMbolea za chumvichumvi - Urea kama mbolea ni nini. Urea (mbolea):Mbolea / virutubisho - Oro Agri Ulayamatumizi ya mbolea ya boostermbolea ya kunenepesha matunda ya nyanyamatumizi ya mbolea ya npkaina za mboleambolea ya kukuziambolea nzuri ya kupandia mahindimbolea ya dapumbolea ya amidas #mkulimasmart #shambadarasa