• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. скачать в хорошем качестве

NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. 5 часов назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.

Jeshi la iran limetangaza msururu wa mafanikio makubwa katika kile imeeleza kumuangamiza mdhalimu marekani. Katika taarifa iliyotolewa na jeshi la iran kupitia msemaji wa vikosi vya walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc imeeleza ya kwamba jeshi la iran limefanikiwa moja kwa moja kuwaangamiza wanajeshi Zaidi ya 650 katika siku mbili mfululizo za vita baina ya iran na marekani. Msemaji wa irgc akiendelea kutoa taarifa hiyo liyoitaja kuwa ya mafanikio amesema kwamba iran mafikisha pia kudungua na kusambaratisha moja kwa moja ndege vita za marekani zilizokuwa zilizokuwa zikinyemelea anga lake na maeneo jiran. Katika kuzimwa kwa jaribio hilo la ndege vita za marekani pia msemaji huyo wa irgc amesema mbali na kudungua ndege hizo pia jeshi kile ameliita imara la iran limedondosha dege kubwa la kivita la marekani lenye ukubwa sawa na uwanja wa mpira wa miguu katika anga la mashariki ya kati. Pia jeshi limebainisha kushambulia uwanja wa ndege wa dubai emirates airline katika shambulio lake la mapema ambapo safari za anga dubai zimefungwa kwa sasa. Sanjari na hilo pia jeshila iran limeelezea mafanikio yake makuu katika shabaha yake ya kuangamiza balozi za marekani mashariki ya kati likisema ubalozi wa marekani mjini Riyadh saudia arabia sio tu umeshambuliwa bali umesarambaratishwa Naye kiongozi mkuu wa mpito wa serikali ya mapinduzi ya kiislamu wa iran ayatollah arafi kupitia ukurasa wake x zamani twter amechapisha picha ya anga inayoonyesha shambulio hilo akisema namnukuu... “hapa si iran,pakstan ama Iraq hapa ni katika ubalozi wa marekani na hilo ni miongoni tu ya shambulio dogo Zaidi hapo bado iran haijaanzisha matumizi ya makombora yake ya invisible misiles ambayo hayo hakuna mfumo wowote wa anga ambao unaweza kuyadhibiti mwisho wa nukuu. Kufuatia hilo marekani limeshindwa kujizuia ambapo rais Donald trump ametuma ujumbe mzito kwa iran kupitia mtandao wake wa truth social akisema naomba kumnukuu jibu kubwa linamkinbiri iran juu ya shambulio lake katika ubalozi wetu saudia sambambba na kuuwa mamia ya wanajeshi wetu jibu linalostahili ambalo halijawahi kutokea linakuja hivi punde mwisho wa nukuu. Katika majibizino ya vuta nikuvute viongozi waandamizi wa iran na marekani waziri wa mambo ya nje wa iran amenukuliwa akisema marekani sasa si wakaogopwa tena wamekuwa wakijisifu kwa teknolojia za kijeshi lakini bure kabisa ona sasa ndege zake vita za f-35 zinadondoka zenyewe wakisingizia makossa ya kimfumo wa anga wa Kuwait hii ni sawa na sifuri. Naye waziri wa mambo ya kigeni wa marekani marco rubio amenukuliwa na chombo cha habari cha marekani the neyork times akielezeza hofu yake katika vita dhidi ya iran akisema namnukuu “ndugu zangu iran wanauwezo wa kuzalisha makombora tunayoyashuhudia Zaidi ya 100 kwa mwezi hiyo ni kwamakadirio tu na si idadi halisi,wakati huo sisi uwezo wetu ni kuzalisha mifumo ya kinga vipangua makombora sita hadi saba kwa mwezi tusisahau pia iran wanazaidi ya maelfu ya drones za kushambulia kwahivyo tusichukulie poa vita hivi.mwisho wa nukuu. Katika ushirika wa marekani nakutumia kambi zake mashariki ya kati kuishambulia iran hivi leo taifa la pakstan limetoa kauli ya onyo likikataa katakata dhidi ya kutumiwa na marekani kuishambulia iran likisema silaha yoyote ya marekani itakayoingia pakstan itasambaratishwa ndani ya sekunde. Hata hivyo katika maswali mseto juu ya msaada wa washirika wa iran katika vita na marekani siku yab leo jibu hilo limetanabaishwa na kiongozi mkuu wa mpito wa iran ayatollah Alireza arafi akielezea msaada mkubwa kutoka kwa rais wa china xi jimpingakisema na mnukuu “ nashukuru sana china kwa kutangaza full sapoti katika vita hivi na nyakati hizi ngumu kwa wairan mwisho wa nukuu. Katika taarifa iliyoshtua wengi ni uingiliaji kati wa Traore katika vita dhidi ya marekani ambapo rais wa burkinafaso Ibrahim Traore amesema yuko tayari kwa msaada wa kijeshi kuisaidia iran endapo itahutaji.SUBSCRIBE sasa kwa habari nyeti na kubwa‪@yuhomatvmedia‬

Comments
  • Mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yaendelea kwa siku ya 4, katika Dira ya Dunia TV Трансляция закончилась 7 часов назад
    Mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yaendelea kwa siku ya 4, katika Dira ya Dunia TV
    Опубликовано: Трансляция закончилась 7 часов назад
  • Toàn cảnh chiến sự khốc liệt: Đạn đạo chống hạm Iran xuất trận, Hải quân Mỹ đối mặt phép thử lớn 2 часа назад
    Toàn cảnh chiến sự khốc liệt: Đạn đạo chống hạm Iran xuất trận, Hải quân Mỹ đối mặt phép thử lớn
    Опубликовано: 2 часа назад
  • HABARI KUBWA ASUBUI HII/VITA YA IRAN NA ISRAEL BADO NGUMU/WAMAREKANI WAME.... 1 час назад
    HABARI KUBWA ASUBUI HII/VITA YA IRAN NA ISRAEL BADO NGUMU/WAMAREKANI WAME....
    Опубликовано: 1 час назад
  • HALI INAZIDI KUWA MBAYA MASHARIKI YA KATI WATU 787 WAMEUAWA HUKU IRAN IKILIPUA BALOZI ZA MAREKANI 12 часов назад
    HALI INAZIDI KUWA MBAYA MASHARIKI YA KATI WATU 787 WAMEUAWA HUKU IRAN IKILIPUA BALOZI ZA MAREKANI
    Опубликовано: 12 часов назад
  • Atak na Iran a gospodarka. Jak wpłynie na inflację? Jak zmieni ceny ropy i gazu? 10 часов назад
    Atak na Iran a gospodarka. Jak wpłynie na inflację? Jak zmieni ceny ropy i gazu?
    Опубликовано: 10 часов назад
  • Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait 2 часа назад
    Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait
    Опубликовано: 2 часа назад
  • TRUMP alivyoingia kwenye VITA inayoweza kutengeneza au Kuharibu kabisa Heshima yake 2 часа назад
    TRUMP alivyoingia kwenye VITA inayoweza kutengeneza au Kuharibu kabisa Heshima yake
    Опубликовано: 2 часа назад
  • CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài 1 час назад
    CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài
    Опубликовано: 1 час назад
  • Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba? 2 часа назад
    Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba?
    Опубликовано: 2 часа назад
  • КАК ИЗМЕНИТСЯ БЛИЖНИЙ ВОСТОК? БЕСЕДА С МИХАИЛОМ КРУТИХИНЫМ Трансляция закончилась 6 часов назад
    КАК ИЗМЕНИТСЯ БЛИЖНИЙ ВОСТОК? БЕСЕДА С МИХАИЛОМ КРУТИХИНЫМ
    Опубликовано: Трансляция закончилась 6 часов назад
  • IRAN YATUMA KOMBORA HATARI 9 часов назад
    IRAN YATUMA KOMBORA HATARI "CLUSTER" LINALOGAWANYIKA LIKIKARIBIA KUTUA - LAZUA TAHARUKI ISRAEL...
    Опубликовано: 9 часов назад
  • Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 03.03.2026 | TV Republika 4 часа назад
    Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 03.03.2026 | TV Republika
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Мощные взрывы в Дубае, атаковано консульство США, бензин дорожает 50 минут назад
    Мощные взрывы в Дубае, атаковано консульство США, бензин дорожает
    Опубликовано: 50 минут назад
  • Tên lửa Iran ‘xé toạc’ căn cứ Mỹ; Một nước NATO lên án Trump gay gắt | Xung đột Trung Đông 16 часов назад
    Tên lửa Iran ‘xé toạc’ căn cứ Mỹ; Một nước NATO lên án Trump gay gắt | Xung đột Trung Đông
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Иран. Адская война вместо блицкрига 7 часов назад
    Иран. Адская война вместо блицкрига
    Опубликовано: 7 часов назад
  • PART II :DJ SMA MAREKANI na ISRAEL wanampango wa KUIPIGA IRAN kwa NUCLEAR/CHINA hawatakubali 6 часов назад
    PART II :DJ SMA MAREKANI na ISRAEL wanampango wa KUIPIGA IRAN kwa NUCLEAR/CHINA hawatakubali
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Rymanowski, Rakowski: Ryczący Lew Izraela Трансляция закончилась 1 день назад
    Rymanowski, Rakowski: Ryczący Lew Izraela
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 день назад
  • ⚡️ Массированный залп по военной технике || США понесли тяжёлую утрату 22 часа назад
    ⚡️ Массированный залп по военной технике || США понесли тяжёлую утрату
    Опубликовано: 22 часа назад
  • Co CHINY i ROSJA zrobią z IRANEM - Amerykanie tego się boją 12 часов назад
    Co CHINY i ROSJA zrobią z IRANEM - Amerykanie tego się boją
    Опубликовано: 12 часов назад
  • ⚡️Путин В БЕШЕНСТВЕ из-за Ирана! Всплыл ТАЙНЫЙ СЦЕНАРИЙ Трампа. Слили СЛЕДУЮЩИЙ КРОК США. ЭПШТЕЙН 1 день назад
    ⚡️Путин В БЕШЕНСТВЕ из-за Ирана! Всплыл ТАЙНЫЙ СЦЕНАРИЙ Трампа. Слили СЛЕДУЮЩИЙ КРОК США. ЭПШТЕЙН
    Опубликовано: 1 день назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5