У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Jioni | 09.02.2026 | Swahili News или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Jioni | 09.02.2026 | Swahili News Vita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vinasababisha pia huzuni kwa baadhi ya raia wa Rwanda. Familia nchini humo zinaomboleza kimya kimya vifo vya wapendwa wao waliokuwa wanajeshi wa Rwanda na ambao waliuliwa kwenye vita huko nchini Kongo huku mamlaka zikifunika huzuni hii kwa kuwazika wanajeshi hao kwa siri. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahilimchana #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili. Tunakusihi ushiriki katika utafiti wetu wa mtandaoni ili tupate maoni yako. Bonyeza kiunganishi kwa maelekezo zaidi: ttps://surveys.dw.com/c/vcemmsxp