У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Januari, 22 2026 | Swahili News или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa yaliyomo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Januari, 22 2026 | Swahili News: Chama tawala nchini Tanzania, (CCM) kimekanusha tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku kuwa CCM inahusika na kufungiwa kwa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema. Mkutano wa mwaka huu wa Jukwaa la Uchumi Duniani WEF unaoendelea mjini Davos, Uswisi, umeingia siku yake ya tatu hii leo huku mijadala ikizidi kushika kasi. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.