У нас вы можете посмотреть бесплатно E/HABARI BIASHARA FEB 24 - WACHIMBAJI WADOGO WAPONGEZA USHIRIKIANO WA CRDB NA TUME YA MADINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini wamepongeza ushirikiano wa kimkakati kati ya CRDB Bank Plc na Tume ya Madini, wakieleza kuwa mpango huo maalum wa kifedha uliozinduliwa leo ni hatua ya kihistoria itakayobadili mfumo wa upatikanaji wa mitaji katika sekta ya madini nchini. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ushirikiano huo na utiaji saini wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Katibu wa Mgodi wa dhahabu wa Mahina Gold Mining uliopo Mbogwe mkoani Geita, Isaya Ngwijo, amesema wachimbaji wamefurahishwa na hatua ya benki hiyo, kwa kushirikiana na Tume ya Madini na Serikali, kuanzisha mfumo wa dhamana mbadala utakaowawezesha kupata mikopo kwa urahisi zaidi ili kuendeleza shughuli zao.