У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE WA GEITA MJINI ALIVYOJITOSA KULIMA BARABARA MBOVU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
GEITA: MBUNGE wa Jimbo la Geita mjini, Mhandisi Chacha Wambura kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Bung’wangoko wilayani Geita wameamua kuchukua hatua ya kujitolea kukarabati barabara yao iliyokuwa katika hali mbaya, hatua inayolenga kurahisisha upitikaji na kupunguza ajali zilizokuwa zikijitokeza mara kwa mara. Katika kuunga mkono juhudi za wananchi wake, Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Wambura ameshiriki kulima barabara pamoja na kutoa msaada wa tripu 50 za moramu pamoja na fedha taslimu kwa ajili ya kuboresha zaidi eneo hilo ambalo limekuwa korofi kwa muda mrefu. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09