У нас вы можете посмотреть бесплатно LUBAKA LWA M'BEMBE M'MBONDO IDAHO VALENTINE'S DAY PARTY FEB 14 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hafla hii imefanikishwa na Uongozi Rasmi wa EMO ya Lúbaka Lwa M’Mbembe M’Mbondo Idaho kwa kipindi cha 2025–2027. Uongozi wa 2025–2027 ni: • Alfred Maganga • Neema Andrea • Dr. Malu PhD • Karumbwa Fils • Neome Abedi • Justin Raymond • Binti Amisi • Sungura Ramadhani • Elizabeth Gerome • Furahisha Mtafuni • Asumani Katembo • Leopard Lutumbu Hawa ndio viongozi walioteuliwa na kuaminiwa kuiongoza EMO katika kipindi cha 2025–2027 kwa lengo la kuimarisha umoja, uwajibikaji, na maendeleo ya jamii yetu. Tunatoa shukrani za dhati kwa wanajamii wote, kamati mbalimbali, wadhamini, na wajitoleaji waliochangia kufanikisha hafla hii. Mwisho kabisa, tunawashukuru sana Vijana wote wa EMO kwa mshikamano, nguvu, na kujituma kwenu. Ninyi ndio nguzo ya maendeleo ya kesho. Kwa pamoja tunajenga. Kwa pamoja tunasimama. Kwa pamoja tunasonga mbele. #EMOLubakaIdaho #Uongozi2025_2027 #Vijana #Umoja #Maendeleo