У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI NDEJEMBI: UTENDAJI WA OSHA UNARIDHISHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ameeleza kuridhishwa na utendaji wa Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ambao umeimarika kutokana na matumizi ya mifumo ya TEHAMA ambayo imeboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za usalama na afya nchini. Ametoa kauli hiyo, alipotembelea banda la OSHA katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Saba Saba) yanayoendelea katika Viwanja vya Saba Saba vilivyopo Barabara ya Kilwa, Temeke Jijini Dar es Salaam.