У нас вы можете посмотреть бесплатно SIMBACHAWENE AFUNGUKA DKT. MPANGO KUACHIA NGAZI | NI MAAMUZI MAGUMU | UMETUFUNDISHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Simbachawene atoa ya moyoni Dkt. Mpango kupumzika Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amesema uamuzi wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wa kutoendelea kuwepo katika nafasi hiyo umemshangaza, huku akisema ni uamuzi wa kizalendo na unatoa funzo kwa wanasiasa. Akizungumza katika kikao kazi cha tano cha Serikali Mtandao kinachofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Simbachawene amesema hatua hiyo ni nadra miongoni mwa viongozi wengi wa kisiasa na inapaswa kuzingatiwa kama mfano wa uadilifu. “Ni uamuzi wa kizalendo, ni uamuzi unaofundisha Tanzania na unafundisha dunia. Maana hata mimi mwenyewe sipo tayari kuuachia ubunge, bado naona ndiyo nakalia vizuri, lakini kwako umeridhika,” amesema Simbachawene