У нас вы можете посмотреть бесплатно Hazina Iliyofichika Tanzania: Madini ya Tsavorite или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TSAVORITE: Hazina ya Kijani kutoka Tanzania | Official Documentary Promo Je, ulijua kuwa moja ya madini ya vito yenye rangi ya kijani ang’avu na thamani kubwa duniani yanapatikana Tanzania? Katika promo hii ya documentary, tunaangazia Tsavorite, jiwe adimu la vito linalopatikana katika maeneo ya kaskazini mwa Tanzania na linalozidi kupata umaarufu mkubwa katika masoko ya kimataifa. Kutoka machimboni hadi kwenye soko la vito duniani, documentary hii inaelezea historia ya Tsavorite, upekee wake, na nafasi yake katika kukuza uchumi na fursa za uwekezaji katika sekta ya madini. 🎬 Tazama promo hii na jiandae kwa documentary kamili inayokuja hivi karibuni. #Tsavorite #Gemstones #TanzaniaMining #MadiniTanzania #MiningDocumentary #Investment