• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe| скачать в хорошем качестве

NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe| 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe|
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe| в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe| или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe| в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



NIPPLE DRINKING SYSTEM KWA NGURUWE |Ufugaji wa nguruwe|

Nipple za kunyweshea maji nguruwe ni MIFUMO MAALUMU YA KUNYWEA MAJI NGURUWE | PIG AUTOMATIC DRINKING SYSTEM TUNAUZA NIPO ZA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE KWA BEI NAFUU WE ARE SELLING PIG NIPPLE - PIG DRINKER TUNATENGENEZA MIFUMO MAALUMU YA KUNYWEA MAJI NGURUWE | PIG AUTOMATIC DRINKING SYSTEM TUNATENGENEZA MIFUMO MAALUMU YA KUNYWEA MAJI NGURUWE | PIG AUTOMATIC DRINKING SYSTEM TUNAZO NIPPLE ZA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE/PIG NIPPLE DRINKER Je wewe ni mfugaji wa nguruwe? Na hivi unafahamu kuwa nguruwe anahitaji maji mengi safi na salama ili aweze kupooza mwili ... Nipple drinker za kunywea maji nguruwe |FUGA KISASA Pig niple / koki za nguruwe, zinapatikana kwa bei ya nafuu TUNAUZA NIPPLE ZA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE. NIPPLE/DRINKER ZA NGURUWE Sasa Unaweza Kujipatia nipo za nguruwe TUNAZO NIPPLE ZA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE/PIG nipple TUNAUZA NIPO ZA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE FAHAMU SIFA ZA Ujenzi wa banda au nyumba BORA ya nguruwe KUTOKA MWALAVILA FARM DODOMA ZIJUE FAIDA ZA KUFUGA NGURUWE MBEGU BORA YA NGURUWE 1 . Bada imara na rafiki kwake 2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe 3 Mchaganyo bora wa chakula 4. Tiba bora na kinga 5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake ) KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA. Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto. Baridi Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga. Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi. Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: 1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa. 2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto. 3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu. 3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya. 4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe. 5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao 6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa. 7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo 8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka. Nguruwe Walioachishwa Kunyonya 1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza. 2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana. 3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu. 4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na 5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara. Lengo langu nikueleza namna unavyoweza kufuga na kutupa faida, Steps zifatazo ni muhimu kuzigatia. #mkulimasmart #shambadarasa ufugaji wa nguruwe pdf malafyale ufugaji wa nguruwe ufugaji wa nguruwe jamii forum ufugaji wa nguruwe morogoro ufugaji wa nguruwe kwa mtaji mdogo pdf ufugaji wa nguruwe tanzania ufugaji wa nguruwe na soko lake

Comments
  • Скамейка своими руками 2 месяца назад
    Скамейка своими руками
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Выгодно ли держать бройлера? 1 год назад
    Выгодно ли держать бройлера?
    Опубликовано: 1 год назад
  • UFUGAJI BORA WA NGURUWE 2023 |TUNAUZA MBEGU YA NGURUWE WA KISASA| 2 года назад
    UFUGAJI BORA WA NGURUWE 2023 |TUNAUZA MBEGU YA NGURUWE WA KISASA|
    Опубликовано: 2 года назад
  • Mabanda ya kulelea watoto wa Nguruwe wakiwa wananyonya 6 лет назад
    Mabanda ya kulelea watoto wa Nguruwe wakiwa wananyonya
    Опубликовано: 6 лет назад
  • 5-fevral, 2026arashan ona bola bogʻoz o'ylar keldi arzon narxlarda 😱😱👍😱😱 6 часов назад
    5-fevral, 2026arashan ona bola bogʻoz o'ylar keldi arzon narxlarda 😱😱👍😱😱
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Парадокс ригеля и стропил 2 года назад
    Парадокс ригеля и стропил
    Опубликовано: 2 года назад
  • теперь только пленка вместо Пкарбоната ,смотри почему )про фундамент парника и автоматику 2 года назад
    теперь только пленка вместо Пкарбоната ,смотри почему )про фундамент парника и автоматику
    Опубликовано: 2 года назад
  • Чем фабричные яйца отличаются от домашних 6 лет назад
    Чем фабричные яйца отличаются от домашних
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Жизнь без супермаркета: как жить и зарабатывать в деревне? // FORUMHOUSE 6 лет назад
    Жизнь без супермаркета: как жить и зарабатывать в деревне? // FORUMHOUSE
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Nipple za kunyweshea maji nguruwe. 3 года назад
    Nipple za kunyweshea maji nguruwe.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Экстремально опасные и быстрые большие бензопилы для валки деревьев | Экскаватор-монстр для удале... 3 месяца назад
    Экстремально опасные и быстрые большие бензопилы для валки деревьев | Экскаватор-монстр для удале...
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • UFUGAJI BORA WA NGURUWE |DARASA LA KUOGESHA NGURUWE| 2 года назад
    UFUGAJI BORA WA NGURUWE |DARASA LA KUOGESHA NGURUWE|
    Опубликовано: 2 года назад
  • ЗАБЫТАЯ ТЕХНОЛОГИЯ БЕДНЯКОВ - КРЫША ИЗ ТРОСТНИКА! САМЫЙ НАДЕЖНЫЙ ПРИРОДНЫЙ ТЕПЛО И ШУМО-ИЗОЛЯТОР! 4 года назад
    ЗАБЫТАЯ ТЕХНОЛОГИЯ БЕДНЯКОВ - КРЫША ИЗ ТРОСТНИКА! САМЫЙ НАДЕЖНЫЙ ПРИРОДНЫЙ ТЕПЛО И ШУМО-ИЗОЛЯТОР!
    Опубликовано: 4 года назад
  • Как искать свободные от кадастра участки для строительства себе и для ветеранов боевых действий НСПД 3 месяца назад
    Как искать свободные от кадастра участки для строительства себе и для ветеранов боевых действий НСПД
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур 1 год назад
    КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур
    Опубликовано: 1 год назад
  • Donkey dairy farm relaxing - Peaceful countryside & livestock farming 4 часа назад
    Donkey dairy farm relaxing - Peaceful countryside & livestock farming
    Опубликовано: 4 часа назад
  • PIG NIPPLE DRINKER SYSTEM|MFUMO WA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE | 3 года назад
    PIG NIPPLE DRINKER SYSTEM|MFUMO WA KUNYWESHEA MAJI NGURUWE |
    Опубликовано: 3 года назад
  • DARASA LA UFUGAJI BORA WA NGURUWE |SIFA 5 ZA BANDA BORA LA NGURUWE| 3 года назад
    DARASA LA UFUGAJI BORA WA NGURUWE |SIFA 5 ZA BANDA BORA LA NGURUWE|
    Опубликовано: 3 года назад
  • Лижут ли Вас Собаки? ВОТ ЧТО ЭТО ЗНАЧИТ (вас шокирует)! 3 недели назад
    Лижут ли Вас Собаки? ВОТ ЧТО ЭТО ЗНАЧИТ (вас шокирует)!
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас. 3 недели назад
    Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.
    Опубликовано: 3 недели назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5