У нас вы можете посмотреть бесплатно CHAMA CHA UDA CHAPIGIA RAIS RUTO KAMPENI KWALE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Viongozi wa chama cha UDA walipeleka kampeni za kumpiia debe rais William Ruto mwaka wa 2027 kaunti ya Kwale wakimshtumu aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta kwa kufanya kazi na viongozi wengine wa ODM na vyama vingine kuyumbisha utawala wa rais Ruto. Wakizungumza katika shule ya msingi ya Milalani huko Msambweni Kwale wakati wa kuchangishia makundi ya wanawake kuwawezesha ambapo zaidi ya shilingi milioni tano zilichangishwa walikionya chama cha ODM kuamua kuunga mkono rais Ruto ama waendelee kuwa upinzani milele. Wamesema rais Ruto atapata kura zaidi ya asilimia 95 katika eneo la pwani mwaka wa 2027 kutokana na maendeleo serikali yake imeonyesha kwa wenyeji.