У нас вы можете посмотреть бесплатно HUKUMU ya NAOMI ANAYEDAIWA KUUAWA na KUCHOMWA na MAGUNIA ya MKAA na MACHO ni KESHO... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HUKUMU ya NAOMI ANAYEDAIWA KUUAWA na KUCHOMWA na MAGUNIA ya MKAA na MACHO ni KESHO... kesi ya mauaji dhidi ya mfanyabiashara Hamisi Luwongo, anayedaiwa kumuua mkewe na kisha kuuteketeza mwili wake kwa moto, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu kesho Februari 26, 2025. Katika kesi hiyo ya jinai namba 44/2023, Hamisi, mkazi wa Gezaulole, wilayani Kigamboni, Dar es Salaam anakabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe Naomi Marijani kinyume cha kifungu cha 196 na 197 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, kama ilivyorejewa mwaka 2019. Anadaiwa alimuua mkewe Mei 15, 2019 nyumbani kwao kisha akauchoma mwili wake kwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku, baadaye akaenda kuzika masalia ya mwili huo na majivu shambani kwake na kupanda migomba juu yake. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx