У нас вы можете посмотреть бесплатно Waziri phanice naliaka khatundi live in luuya SHEM BARIAL или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
02 Agosti 2025 Waziri wa Kilimo na Ardhi wa Kaunti ya Trans Nzoia, Mheshimiwa Phanice Naliaka Khatundi, hii leo ameungana na waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri, Mheshimiwa Shem Wekesa Shadrack, yaliyofanyika katika eneo la Luuya, Wadi ya Keiyo. Katika hotuba yake, Waziri Khatundi alitoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na wakazi wa eneo hilo kwa kumpoteza kiongozi ambaye alijitolea kwa maendeleo ya jamii. Alimtaja marehemu kama mwenye maono, mzalendo, na aliyejitolea kwa dhati kuwatumikia wananchi. Waziri Khatundi alitumia jukwaa hilo pia kutangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya Mwakilishi wa Wanawake (Women Rep) wa Kaunti ya Trans Nzoia mwaka 2027, akiwataka wananchi kumwamini na kumuunga mkono kwa maendeleo ya kina kwa wanawake, vijana na jamii kwa ujumla. Katika hotuba hiyo, alimsifu pia Gavana wa Trans Nzoia, Mheshimiwa George Natembeya, kwa uongozi wake bora, uwazi na bidii katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa kaunti hiyo. EKADELI MEDIA #watch #ekadeli #fathersday #love #viralvideo #duet #maandamano #justice #rip #sadstatus