У нас вы можете посмотреть бесплатно KIBERITI | EP 01 | или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baada ya visa na matukio ambayo binti mdogo alikutana nayo KIBERITI kwenye SEASON 1 katika kijiji cha kitaita na kuamua kukimbilia nyumbani kwao ili kujiandaa na vita mpya. Katika season hii mpya tutaona muendelezo wa maisha yake baada ya kukimbia na kufika kijijini kwao na kuanza kuibua tena visa na mikasa pamoja na migogoro mingine mipya.. Usikose kufuatilia mtililiko wa series hii mpya tamu iliyo jaa action, drama, comedy na mikasa mipya. Starring: KIBERITI Directed by: YESSE CREATOR Produced by: GAIRO FILMS MEDIA Country: Tanzania 🇹🇿 ✅ Subscribe kwenye channel yetu 🔔 Washa kengele usipitwe na episode mpya ikitoka 📢 Share na marafiki zako – tupeni nguvu ya kuendelea kuleta content bora zaidi! KiberitiSeason2 ##bongomovies #BongoSeries #SwahiliDrama #clamvevo #dunia #GairoFilmsMedia #AfricanStories #Kiberiti 🔥🎬