У нас вы можете посмотреть бесплатно WARAKA WA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU HALI YA USALAMA WA RAIA, HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA WA SHERIA NCH или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hii ni video ya Waraka uliotolewa na Umoja/Mtandao wa Asasi za Kiraia Tanzania na kisha kutiwa sahihi. Asasi za Kiraia (Civil Society Organizations) ni taasisi huru zilizoundwa kwa mujibu wa sheria mbalimbali nchini. Taasisi hizi zinatekeleza majukumu mbali mbali hapa nchini katika kuhakikisha ustawi wa taifa letu. Asasi za Kiraia Tanzania zimesikitishwa sana na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala wa sheria na usalama wa raia vinavyoendelea hivi sasa hapa nchini. Waraka huu umetolewa tarehe 21 Januari, 2018, siku chache tu mara baada ya tukio kuuawa kwa kupigwa risasi kwa mwanafunzi Aquilina Aquilini wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) wilaya ya Kinondoni-Dar es Salaam; akiwa katika daladala. Matukio mengine ya ukiukwaji wa haki za binadamu ni kama: Vitendo vya kutekwa, kuuwa, kuumizwa na kupotea kwa watu mbalimbali Matumizi ya Sheria Kandamizi na Ukamataji Usiozingatia sheria Hali ya Watetezi wa Haki za Binadamu na AZAKI