У нас вы можете посмотреть бесплатно Dkt. Omolo: Vitisho vya kisasa mpakani vyahitaji ushirikiano или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
USALAMA MIPAKANI Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo amesema kuwa mikakati shirikishi ya kimaeneo ya kushughulikia dharura na ushirikiano thabiti baina ya mashirika, vimechangia pakubwa katika kupiga jeki usalama mpakani na mbinu za kukabiliana na vitisho vya kimataifa. Dkt Omolo aliyezungumza kwenye hafla ya ufunguzi wa warsha ya siku tatu kuhusu usalama mpakani jijini Nairobi, alisema vitisho vya kisasa mpakani vinaendelea kuwa tata na vinahitaji ushirikiano katika kuvishughulikia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive