У нас вы можете посмотреть бесплатно ANGALIA HAPA MAKAMBA ALIVYOANZA KAMPENI KIJIJI KWA KIJIJI BUMBULI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, January Makamba, amesema moja ya vitu vitakavyo kisaidia Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni namna Chama hicho kinavyoshughulika na kero zinazowakabili wananchi. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uliyofanyika katika Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli na kusema moja ya ajenda ya chama hicho ni kushulika na kero zinazowakabili wananchi.