У нас вы можете посмотреть бесплатно KUSANYIKO 2021: SHALOM VINE CHOIR WENYEJI WAKIHUDUMU KWENYE KUSANYIKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa miaka kadhaa sasa kanisa la Mahali Kahama mjini lenye makao yake makuu hapa Fpct Shalom Temple limekuwa likifanya ibada ya pamoja kila mwanzoni mwa mwaka husika ibada hizo zimekuwa zikifanyikia hapa Shalom Temple na mambo kadha wa kadha yamekuwa yakijiri katika ibada hiyo ikiwamo uimbaji, Neno la Mungu na kanisa kupokea taarifa ya mwaka uliopita. Katika mwaka 2021 ibada hiyo imefanyika Machi 14 siku ya Jumapili nakuhudhuriwa na mamia ya wana Kahama, kwenye video hii ni kipindi cha uimbaji na Kanaan Choir toka Fpct Uamsho. KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 ----------------------------------------------------------------- WEBSITE👉http://shalomtemplelive.org/... ---------------------------------------------------------------- FACEBOOK👉https://bit.ly/3c1guBA... ------------------------------------------------------------ INSTAGRAM👉https://bit.ly/2VarfKJ... ---------------------------------------------------------- TWITTER👉https://bit.ly/3bXwUur... -------------------------------------------------------- WHATSAPP👉+255 757 92 96 69