У нас вы можете посмотреть бесплатно UDSM KUJENGWA KAGERA, ZAIDI ya BILIONI 18 KUTUMIKA, WAZIRI MKENDA AZUNGUMZA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UDSM KUJENGWA KAGERA, ZAIDI ya BILIONI 18 KUTUMIKA, WAZIRI MKENDA AZUNGUMZA.. Waziri wa Elimu, sayansi na Teknolojia Prof, ADOLF MKENDA leo 15/10/2022 ametekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan aliloagiza 13/10/2022 wakati akizindua chuo cha ufundi (VETA) kilichopo mkoani Kagera juu ya kukagua na kuweka mipango ya kujenga tawi la chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinachotalajiwa kujengwa katika kata ya Kalabangaine halimashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani humo. Akizungumza akiwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta zaid ya 300 Prof, Mkenda amewapongeza wananchi wa kata hiyo kwa kukubali kutoa eneo hilo bila fidia yoyote ambapo ameridhishwa na hatua mbalimbali ambazo zimeanza kuchukuliwa juu ya kujenga chuo hicho ikiwemo kupata hati ya eneo hilo, uku Naibu makamu mkuu na utawala chuo kikuu cha Dar es Salaam Prof, Davidi Mfinanga amesema ujenzi wa chuo hicho unatalajia kuanza mwenzi wa 3, 2023 na kitaghalimu dola million 8 ambazo ni zaidi ya bilioni 18 za kitanzania. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline