У нас вы можете посмотреть бесплатно WAUMINI WA WAADVENTISTA WASABATO WAUNGANA KUOMBEA AMANI TAIFA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga mjini limefunga Siku 10 za Maombi pamoja na kuombea Taifa Amani huku likihamasisha waumini kuthaminiana, kupendana na kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto. Maombi hayo yaliongozwa na Mchungaji Brian Abdallah Mchungaj wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mtaa wa Sengerema ambayo yalianza Januari 11,2023 na kuhitimishwa leo Jumamosi Januari 21,2023 katika Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini yakiongozwa na Somo lisemalo ‘Kurejea Madhabahuni’. Akiongoza Maombi ya kufunga Siku 10 za Maombi wakati wa Ibada leo Jumamosi Januari 21,2023, Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mtaa wa Sengerema Mjini, Brian Abdallah amesema maombi hayo yamekuwa na mmbaraka mkubwa. #shinyanga #habarizahivipunde #habari #ontrending #sabato #waadventista