У нас вы можете посмотреть бесплатно #JichoLangu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ijumaa Tarehe 12 Machi Mwaka Wa 2021, Jeniffer Wambua Na Mumewe Joseph Komu Walitoka Nyumbani Katheka Kai ,Kaunti Ya Machakos Saa Kumi Na Moja Unusu Alfajiri Wakiwa Katika Gari La Aina Ya Subaru. Walikuwa Wanaenda Katka Maeneo Yao Ya Jijini Nairobi. Mumewe Jennifer Ananiambia Kuwa Maongezi Yao Katika Safari Hiyo Ya Zaidi Ya Kilomita Stini Yalikuwa Ya Kawaida. Saa Kumi Na Mbili Unusu Asubuhi, Picha Za Cctv Katika Maeneo Ya Ack Gardens Ngong Ist Avenue Hatua Chache Kutoka Majengo Ya Ardhi Zinaonyesha Jeniffer Akishuka Kutoka Kwa Gari La Mumewe Akiwa Amebeba Mkoba Kwapani Kisha Kitu Kama Bahasha Mkononi Na Pakiti Ya Maziwa. Alifufuliza Moja Kwa Moja Hadi Katika Afisi Yake Iliyoko Ghorofa Ya 4 Ya Jengo Hili. Walinzi Wanasema Hakuonekana Kama Alikuwa Na Lolote Lililomsumbua. Kwa Mujibu Wa Picha Hizo Za Cctv Ambazo Tumezikagua, Jeniffer Aliingia Afisi Mwake Na Kukaa Humo Kwa Muda Wa Saa Moja Hivi… Dakika Chache Baada Ya Saa Mbili, Anaonekana Akiondoka Na Kuingia Kwenye Kambarau Yaani Lifti. Huo Ukawa Mwisho Wa Kuonekana Katika Cctv. Tunaelezewa Baadhi Ya Kamera Hazikuwa Zinafanya Kazi Katika Jengo Na Hivyo Haijulikani Alikoenda.