У нас вы можете посмотреть бесплатно MITIMINGI # 761 TENDO LA NDOA KWA WANANDOA NDIO LINALOBORESHA NDOA YAKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
VICHOCHEO VINAVYOCHANGIA USALITI KATIKA NDOA Miongoni mwa wanandoa wanafikiri kuwa kufanya tendo la ndoa mara chache ndio inaongeza uimara wa ndoa! No Msingi na uimara wa ndoa unapimwa kupitia TENDO LA NDOA. Tendo la ndoa ni Kipimo cha mahusiano yako na upendo baina ya wanandoa; wanandoa walio wengi wakati mahusiano yao ni mapya hufanya tendo la ndoa mara kwa mara. Kama wanandoa hawajafanya Tendo la ndoa kwa muda wa mwezi mmoja, ni alama ya wazi kuwa Hawaelewani, ndoa yao imeingia misukosuko. Utafiti wa kisaikolojia unaonesha kwamba ili akili ya mwanaume ikae sawa anahitaji kula tendo la ndoa lililo na utoshelevu. NB: KUFANYA RENDO LA NDOA MARA KWA MARA NI ULINZI MKUBWA SANA HASA KWA MWANAUME Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39