У нас вы можете посмотреть бесплатно HOUSE BOY/house boy aliyepewa kazi ya siri ya kupambana na mabosi zake wa kike. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maiko amechoka na safari za kila siku za mke wake Betina na mdogo wake Tina. Akiwa kazini, wanawake hawa hawatulii nyumbani hata siku moja. Suluhisho lake? 👉 Kuajiri house boy… lakini si house boy wa kawaida. Lukas anapewa kazi ya siri: kuhakikisha Betina na Tina hawatoki nje, bila wao kujua kwamba wanazuiwa. Hakuna ugomvi. Hakuna kusema “umezuiwa”. Ni kutumia akili tu… na kubeba lawama zote. Je, Lukas ataweza kuhimili presha ya kuwazuia mabosi wake wawili? Atadumu miezi mingapi kabla mambo hayajaharibika? 🎧 Fuatana nami kwenye simulizi hii kali ya familia ya Maiko. 👇 Usisahau Subscribe, Like, na kubonyeza alama ya kengele ili usipitwe na mkasa wowote. 🔥 Hii ndio house boy… #SimuliziZaKiswahili #HouseBoy #SimuliziYaFamilia #DramaZaKibongo #HadithiZaMaisha #SimuliziMpya #AfricanStories #SwahiliStories #YouTubeTanzania #MikasaYaFamilia #StoryTimeSwahili #DramaKali #HadithiFupi #SimuliziZaUsiku