У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.02.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tuliyo nayo asubuhi ya leo ++Ni kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Bangladesh uliofanyika hapo jana tangu nchi hiyo iliposhuhudia maandamano makubwa ya vijana wa GenZ yaliyomuondoa madarakani Waziri Mkuu wa muda mrefu Sheikh Hassina. ++ Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Marco Rubio anaongoza ujumbe mkubwa wa Marekani wiki hii kuelekea katika Mkutano Mkuu wa Usalama wa Munich ++ Baada ya kutoa taarifa rasmi kuhusu unyanyasaji na ulaghai wa fedha, Baraza la Magavana wa Kenya limewataja Maseneta wanne ambao wanadai wanawatoza fedha kwa njia ya hongo #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.