• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER скачать в хорошем качестве

Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara  Tanzania - KUROILER
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Ukweli Kuhusu Ufugaji wa Kuku Chotara Tanzania - KUROILER

UFUGAJI WA KUKU CHOTARA Ufugaji wa kuku Chotara ni Ufugaji wa kibiashara na unapotaka kuanza biashara yeyote ni muhimu ukawa na mpango thabiti wa namna gani utaiendea biashara hiyo ili iweze kukuwa na kukupa mafanikio makubwa na unayoyahitaji. Jifunze Zaidi:    • Ufugaji wa Kuku Chotara Biashara   Biashara ya ufugaji wa kuku chotara imegawanyika katika makundi tofautitofauti, makundi hayo ni kama yafatayo:- 1. Uzalishaji wa mayai au vifaranga au vyote kwa pamoja 2. Uzalishaji wa vifaranga wa wiki 4-5 3. Uzalishaji wa kuku chotara kwaajili ya nyama Kabla haujaanza ufugaji wa kuku chotara yakupasa uwe umechagua ni aina gani ya bidhaa unataka kuingiza sokoni. Soko kubwa la kuku chotara ni wafugaji ambao wanataka kuingia kwenye biashara hiyo, kwahiyo yakupasa mhamasishaji na uwe na ushiwishi kwa wengine ili kujitanulia soko. Lakini zipo hatua ambazo inakubidi uzifahamu na uzipitie ili uweze kufuga kuku chotara kwa mafanikio. Hatua hizo ni kama zifatazo:- 1. Unahitaji Kuzalisha Bidhaa ya aina gani ._ Kama nilivyotangulia kusema hapo awali kuwa ufugaji wa kuku chotara umegawanyika katika makundi tofautitofauti, unapo hitaji kuanza ufugaji wa kuku chotara unatakiwa kuchagua kundi moja na ukawekeza nguvu ya kutosha ili kuongeza thamani ya utakachozalisha. Kundi la 1. Uzalishaji wa mayai au vifaranga au vyote kwa pamoja. Katika kundi hili, mfugaji wa kuku chotara anatakiwa kuwa na kuku wazazi watakao kuwa wanazalisha mayai kwaajili ya biashara, au kutotoleshe vifaranga kwaajili ya biashara au kufanya vyote kwa pamoja, kuzalisha mayai na kuuza vifaranga. Uwekezaji kwenye kundi la kwanza unahitaji mtaji mkubwa kidogo hivyo unapaswa kujiandaa vizuri ili uweze kuwahudumia na kuwapa mazingira mazuri kuku wazazi. Kundi la 2. Uzalishaji wa vifaranga wa wiki 4-5 Katika kundi hili mfugaji wa kuku chotara anatakiwa kuwa na banda la kulelea vifaranga mpaka watakapo fikisha wiki 4 -5. Sio lazima kwa mfugaji kwenye kundi hili kuwa na kuku wazazi, unachotakiwa kufanya ni kutafuta wazalishaji wa vifaranga bora vya kuku chotara ambao watakuwa wakikuhudumia vifaranga kwaajili ya biashara yako. Kitu muhimu cha kuzingatia ni kuhakikisha, vifaranga wanapata chakula bora na chanjo zote za muhimu kwa wakati. Vilevile muwekezaji kwenye kundi la kwanza anaweza akafanya biashara hii kama atakuwa na eneo la kutosha kwa sababu wafugaji wengi wanaoanza wanaogopa kulea vifaranga wa siku moja. Kundi la 3. Uzalishaji wa kuku wa nyama Katika kundi hili mfugaji wa kuku chotara anatakiwa kuwalea vifaranga mpaka watakapofiksha wiki 10-12 ambapo watakuwa tayari wamepevuka kwaajili ya nyama. Sio lazima kwa muwekezaji katika kundi hili kuwa na kuku wazazi, unachotakiwa kufanya ni kutafuta wazalishaji bora wa vifaranga vya kuku chotara atakaye kuwa anakuhudumia vifaranga kwaajili ya biashara yako. Kitu cha kuzingatia kwenye uwekezaji huu ni kuwalisha chakula bora na ambacho hakina gharama kubwa ili uweze kupata faida. 2. Kutafuta elimu ya ufugaji wa kuku chotara._ Elimu ya ufugaji wa kuku chotara ni muhimu sana na itakupa mwanga wa utakachenda kukifanya. Elimu hiyo ihusishe vitu vifatavyo;- I. Ujenzi wa Banda la kuku chotara Katika vitu ambavyo mfugaji wa kuku chotara unanatakiwa kuvizingatia ni ujenzi wa banda la kuku kwa sababu hawa kuku chotara wanaathiriwa sana na hali ya hewa inayosababishwa na mazingira ukilinganisha na kuku wa kienyeji. Wafugaji waliojenga mabanda bora wamafanikiwa kupunguza changamoto za magojwa kwa kiasi kikubwa. II. Utaratibu wa kuwapa chanjo vifaranga Hili halina mjadala, ili kuwakinga kuku wako dhidi ya magonjwa yasiyokuwa na tiba na ambayo husababisha vifo kwa asilimia kubwa ni kuwa na elimu ya kuwapa chanjo kwa wakati. III. Udhibiti wa Magonjwa mbalimbali yanayosababisha vifo kwa kuku, magonjwa haya ni magonjwa ya miripuko kama typhoid, kipindupindu, coccidiosis, Coryza n.k IV. Jinsi ya kuwalisha kuku kwenye umri tofauti ili kuhakikisha wanakuwa vizuri na wanataga mayai mengi. V. Mbinu za kupunguza gharama za ulishaji wa chakula, mfano kuwalisha hydroponics na Azolla n.k. 3. Fahamu bajeti ya uendeshaji wa mradi._ Fanya hesabu ya kila kitu kinachohitajika ili kufahamu bajeti ya uendesgaji wa mradi, kuanzia vifaranga wanaingia bandani mpaka kufikia uzalishaji. Hesabu hiyo ihusishe vitu vifatavyo:- I. Gharama ya ujenzi wa banda II. Vifaa muhimu bandani Vyombo vya chakula na maji kwenye umri tofauti, vyanzo vya joto (jiko au balb), bruda, thermometer, mkaa, maranda na magazeti III. Chakula kwa rika tofauti Gharama ya chakula watakachokula mpaka waanze uzalishaji IV. Chanjo na antibiotiki Gharama ya antibiotiki na chanjo watakazotumia mpaka kufikia uzalishaji V. Gharama ya umeme Sio lazima uwe na pesa yote kwa pamoja ndio uanze ufugaji wa kuku chotara, bali unaweza kuanza hata kama unarobo ya pesa inayohitajika. Kikubwa uainishe vyanzo vya pesa itakayotumika kuendeleza mradi. #kuroiler #chotara

Comments
  • Ufugaji wa Kuku Chotara Biashara 4 года назад
    Ufugaji wa Kuku Chotara Biashara
    Опубликовано: 4 года назад
  • NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI  SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI 6 лет назад
    NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • ЕС готовит контрдействия плану Трампа по Украине / Трамп готов к его изменению /№1049/ Швец 3 часа назад
    ЕС готовит контрдействия плану Трампа по Украине / Трамп готов к его изменению /№1049/ Швец
    Опубликовано: 3 часа назад
  • KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA 1 год назад
    KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA
    Опубликовано: 1 год назад
  • 8 дней назад
    "Riche Fermier: Comment je développe mon élevage jour après jour 🐥📈"
    Опубликовано: 8 дней назад
  • Арман Царукян нокаутирует Дэна Хукера. Полный бой | UFC Qatar 4 часа назад
    Арман Царукян нокаутирует Дэна Хукера. Полный бой | UFC Qatar
    Опубликовано: 4 часа назад
  • KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO 6 месяцев назад
    KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • Константин Сивков | 28 пунктов. Кто кукловод? 8 часов назад
    Константин Сивков | 28 пунктов. Кто кукловод?
    Опубликовано: 8 часов назад
  • Куры и курятник: с чего начинать разведение и содержание кур 1 месяц назад
    Куры и курятник: с чего начинать разведение и содержание кур
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Jinsi ya Kutunza Vifaranga wa Kuku Chotara (Kuroiler) 4 года назад
    Jinsi ya Kutunza Vifaranga wa Kuku Chotara (Kuroiler)
    Опубликовано: 4 года назад
  • Как выращивать кур на свободном выгуле ради мяса и яиц. 1 год назад
    Как выращивать кур на свободном выгуле ради мяса и яиц.
    Опубликовано: 1 год назад
  • Kuroiler Wanataga Mapema, Mayai 260 na Uzito wa Kilo 5 3 года назад
    Kuroiler Wanataga Mapema, Mayai 260 na Uzito wa Kilo 5
    Опубликовано: 3 года назад
  • JIONEE BANDA KUBWA LA KISASA LINALOBEBA MBUZI 700! 7 месяцев назад
    JIONEE BANDA KUBWA LA KISASA LINALOBEBA MBUZI 700!
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур 1 год назад
    КУРЯТНИК С УМОМ / Продуманное решение для счастливых кур
    Опубликовано: 1 год назад
  • План Трампа. Как выглядит обмен территориями между Украиной и Россией? 3 часа назад
    План Трампа. Как выглядит обмен территориями между Украиной и Россией?
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Ufugaji wa kisasa wa ng'ombe wa maziwa  kijiji Wilaya ya Mufindi. 2 года назад
    Ufugaji wa kisasa wa ng'ombe wa maziwa kijiji Wilaya ya Mufindi.
    Опубликовано: 2 года назад
  • How Eggs Are Really Produced in Nigeria - A Day in the Life of Layer Chickens 🐔 7 дней назад
    How Eggs Are Really Produced in Nigeria - A Day in the Life of Layer Chickens 🐔
    Опубликовано: 7 дней назад
  • WEZESHWA NA INTERCHIC 2 года назад
    WEZESHWA NA INTERCHIC
    Опубликовано: 2 года назад
  • Давление Со Всех Сторон😤 Оборона Звановки И Нового Запорожья Рухнула🚨🏴 Военные Сводки За 22.11.2025 7 часов назад
    Давление Со Всех Сторон😤 Оборона Звановки И Нового Запорожья Рухнула🚨🏴 Военные Сводки За 22.11.2025
    Опубликовано: 7 часов назад
  • SIFA 5 ZA KUKU AINA YA KROILA/Benefits of Kuroiler breed chickens 1 год назад
    SIFA 5 ZA KUKU AINA YA KROILA/Benefits of Kuroiler breed chickens
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5