У нас вы можете посмотреть бесплатно KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | USIOGOPE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
USIOGOPE, Yesu yupo kila mahali na kila hatua ya maisha yako. Hatakuacha kamwe. Karibu ushiriki nasi katika maneno haya ya ushindi na kutia moyo kupitia wimbo huu ulio imbwa na Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama, katika ibada ya SIku ya Mbingu Kujaa Sifa msimu wa nne. (S04) Lyrics USIOGOPE Chorus: Usiogope eeh ndugu, Yesu yupo mbele yako, yupo nyuma yako, kushoto kulia Yesu yupo, zaidi akufunika kwa Damu yake ya thamani, usiogope ee Verse 1 Kamwe usije ukawaza Mungu kakuacha ee ndugu, ujapopitia majaribu mbalimbali eeh, Mungu amekusudia kukutengenezea njia, ukishayashinda yote imani yako itakua, kumbuka majaribu kipimo cha imani yako, usiogope.. Chorus Verse 2. Hata kama nyuma yako kwaja majeshi ya farao, hata kama mbele yako kunayo bahari ya shamu, hofu na mashaka visiutawale moyo wako e ndugu mpendwa, maana kwa neno lake Bwana bahari itakuwa njia, maana kwa neno lake Bwana bahari itakuwa njia Chorus Verse 3 Solo: Subiri yeyeye subiri kutoka kwa Yesu, subiri yeyeye, atakujibu kwa wakati, subiri yeyeye majibu kutoka kwa Yesu subiri yeyeye, utajibiwa kwa wakati eeeh Wote: Subiri yeyeye, subiri kutoka kwa Yesu, subiri yeyeye atakujibu kwa wakati Solo: …..free style Wote:Subiri yeyeye, subiri kutoka kwa Yesu, subiri yeyeye atakujibu kwa wakati Verse 4: Yeye ni mwanzo na tena ni mwisho ahadi zake hazipimwi kwa muda, miaka elfu kwenye hii dunia kwake Bwana sawa na siku moja X2 subiri eeh, subiri eeh, subiri eeh baba, subiri eeh, subiri eeh, subiri eeh mama, subiri eeh, subiri eeh, subiri eeh kaka, subiri eh subiri eeh,, leleleleee Wote: Subiri yeyeye, subiri kutoka kwa Yesu, subiri yeyeye atakujibu kwa wakati