У нас вы можете посмотреть бесплатно NAMNA YA KUVAA VIZURI SANA KWA BAJETI NDOGO NA BADO MACHO YOTE YAKAKUSINDIKIZA🔥~ Mirror Etiquette👗👚 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
✨ Unataka kuonekana nadhifu na kuvutia bila kutumia hela nyingi? Katika video hii, Mirror Etiquette (Bi. Mariam Kwembe) – Certified Business Etiquette Trainer – anakufundisha mbinu rahisi na bora za kuvaa vizuri kwa bajeti ndogo. 🔥 Utajifunza: Namna ya kuchagua nguo zinazoongeza thamani kwa mwonekano wako Siri ya kuchanganya mavazi ya bei nafuu ili yaonekane ya kifahari Mikakati ya kujiamini unapovaa, bila kujali bajeti yako Vidokezo vya kitaalamu vya business etiquette kuhusu mavazi Hii ni nafasi yako ya kubadilisha style yako na kuongeza mvuto wako bila kuumiza mfuko. 👉 Tazama hadi mwisho upate nondo zote 📲 Subscribe kwa mafunzo zaidi kuhusu etiquette, personal branding na maendeleo binafsi -- Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media -- ........................................................................................................................... Session Credits: Mirror Etiquette #MirrorEtiquette #MariamKwembe #FashionOnBudget #Etiquette #StyleTips #Mafanikio #Thewise #UimaraWaKifikra #Biashara #MaishaBinafsi #Nanauka #wisdom #thewisetz #MaishaYenyeMaana #KusudiLaMaisha #Kujitambua #Motivation #Tanzania #Kenya #Uganda #Zanzibar #Congo #hamasa #masomo #mahubiri