У нас вы можете посмотреть бесплатно Mhe Nape Mosses Nnauye Awatakia kila la Kheri Watumishi wapya Halmashauri ya Mtama. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe Nape Mosses Nnauye alipata nafasi ya kuwasalimia, kuwakaribisha na kuwatakia kila la Kheri na mafanikio Watumishi wapya Halmashauri ya Mtama. Alipata wasaa huo kwa njia ya simu- wakati wa mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa ajira za mwaka 2024/2025 na 2025/2026 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama. Watumishi wapya wamejengewa uwezo, kufanyiwa mafunzo na kushirikishwa masuala muhimu ya kiutawala, kijamii, kitendaji ili wawe Watumishi bora. @mtamadc#mtamadc@faidaonline@mpenjatv @Masasione_Onlinetv @faidaonlinetv3968 @MasasiDc @St.BenedictNdandaReferralHosp @Nyangao @NyangaoSecondaryschool @WorldVisionAustralia @WorldVisionKorea @vividvisionaryworld @kucheletv2733 @radiofadhilafm @MpenjaTV @Wasafi_Media @ikulutanzania255 @samiasuluhu99 @afyacardiopapers