У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING NEWS KENYAN GENZ REACTION AFTER SIFUNA EXPELLED FROM ODM.TUSIWAHI SAHAU BILLBOARD LOADING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
.#jakorumbacomendy#genzbaddie #presidentruto @davidwafulake @KambaSoundCast #gashangua #KALONZO #sifunaedwin #rutotodaynews #trendingnews #kenyapolitics @RamogiTVKenya @KamemeTv @davidwafulake Roto, yule sifuna mulipanga kuondoa ODM. Jina lake mbeleni lilikuwa ni Mimi ndie sifuna. , sasa limerudi kwa rayia, imesemekana sisi ndio sifuna., unaona, hatusahau na hii kitu nilikuambia, ona sasa msitu wa moto.yaani ulinguza pambaya. Supporters wa ODM hawakua wametulia wanjue wanaingia pande gani na wanainchi wenye wanampenda sifuna. By the way acha nikwambie kuna vikundi viwili vya wakenya wako hapa nataka uelewe. Kikundi cha kwanza, ni kile kilianza story zako kutoka mwanzo wale majenzi. Finance bill, kikakuja hivyo hivyo, wenye wana shughulika na mambo ya accountability kwa serikali yako. Wametimua timua mbio. kuna kikundi chengine tena kimekujia hapa katikati kimepata, baba sasa amefariki. Tunaingia wapi. So wamekuja hapa wote wameingia kwa sifuna. Na wale ambao walikua mbele waliokua wakikashifu serikali yako huku wakiichungunguza wakaingia wote kwa sifuna sababu sifuna yeye ndiye alikuwa ana kangua serikali yako kwa public domain. So venye wameshikana wote, sasa lile jina lilikuwa lasemekana mimi ndiye sifuna lime badilika n akua sis indie sifuna. Hao ni mamilioni ya watu,ona chenye kilifanyika kitengela jumapili hiii. Mkutano ikaitishwa turn out ya vishindo ikaonekana. Kutakuwa na kongamano hujawahi shuhudia hivi karibuni. Mimi uangalia ground inasema vipi. Na niko sure bet kwamba hii nayo haitakua na come back. Hakuna mwana siasa atakuwa na umati mkubwa kama hiyo ya sifuna imefanyika pale kitengela jumapili. Sasa ndio mtaelewa mlinguza simba alalae kimakosa.. hamkua mnafahamu kwamba sisi ndio sifuna.na ni kushangaze hivi karibuni sisi ndio sifuna utawaona wengii zaidi wamefurika kila mahali. Babu wino, sifuna, Kibagedi,caleb Hamisi,james orengo,viongozi wengi sana. So nakwambia mapema uliyafanya mahesabu yako vimbaya sana. Omburu ameona venye, wamekucheza,sasa ameanza kujia associate tena na United Opposition. Sasa umebaki peke yako. Sasa ni kung’ang’ana urudishe kanisa, ni kung’ang’ana urudishe sifuna, ni kung’ang’ana utafute tena team ya Raira, ni kung’ang’ana kila mahali.kuna shida ingine kubwa iko kwenyu hapo.kwa jikoni inayo itwa the kindiki factor 2027,ama Gladys wanga factor ama Oparanya factor,sasa ukijaribu kunguza kindiki pale mt kenya sasa ata ile 5%ilikua imebaki itaenda yote. Ukijaribu kuleta Oparanya mbado mwenye ametia naga kura za western kenya ni team trans nzoia,George natembea.wakiwa na Malala,na may be Wamalwa.kina khalwale.hao wengine wote hawajulikani kwa huo mpagilio. Alafu Sasa, ukipeleka hicho kiti kwa Gladys wanga. tayari, Gladys ataachwa kwa mataa. Hakuna kura atakuletea. Hivyo ndivyo kumekalia ruto kazi ngumu.kwa maoni yangu muhula wa pili kwa mbwa zakayo ni vyu sasa. One term ndiyo kidogo kuna mwanga unao onekana.tunaona. hakuna mahali iko.