У нас вы можете посмотреть бесплатно TUNDURU YAZINDUA RASMI MSIMU WA ZAO LA MBAAZI: DC MASANJA ATOA MAAGIZO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Denis Masanja, amewataka Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Msingi vya Ushirika kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia Sheria, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Mamlaka Husika. Ametoa Maagizo hayo katika Mkutano wa Uzinduzi wa Msimu wa zao la Mbaazi 2025/2026 Wilayani Tunduru Agosti 16, 2025.Ambapo, ametangaza kuwa Msimu wa Zao la Mbaazi umefunguliwa Agosti 16, 2025, amevitaka vyama vya Msingi kuanza kufungua maghala mapema iwezekanavyo kuanzia sasa, ili kuwahi Mwenendo mzuri wa Bei iliyopo sokoni kwa sasa.