У нас вы можете посмотреть бесплатно KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO TUNDURU KUANZA KAZI MWAKA HUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dennis Londo (Mb), akiongea Kuhusu Mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo wilayani Tunduru Sunil Kamath kuwa katika hatua za awali za maandalizi ya kufungua kiwanda hicho kitakachoanza kazi mwaka huu na kuimarisha mnyororo wa thamani ambao ndio msingi wa uchumi imara na jumuishi. Ameyasema hayo Januari 30, 2026, Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbuge wa Tunduru, Mhe. Ado Shaibu, katika swali lake, Mbunge huyo ametaka kujua ni lini Serikali itatekeleza maagizo ya Rais Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ya kufufua kiwanda cha kubangua korosho wilayani Tunduru.