У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJAJI WAELEZA WANAVYOMKUMBUKA MAGUFULI, JENGO JIPYA LA MAHAKAMA LATAJWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jaji mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma amesema kuwa, ujenzi wa Mahakama hiyo ni maono ya Raisi wa awamu ya tano Hayati Dk John Pombe Magufuri kwani yeye ndiye aliyeamuru mahakama hiyo ijengwe katika katika kitalu namba D eneo la NCC jijini Dodoma. Profesa Juma amesema kuwa hayati Magufuri aliagiza ujenzi wa Mahakama hiyo kujengwa katika mkoa wa Dodoma na siyo Dar es Salaam katika eneo la Chimala kama ilivyokapangwa hapo awali. "Nikimjulisha Rais wa awamu ya tano kuwa michoro ipo tayari na uongozi wa mahakama unasubiri uwezeshwaji ili mkandarasi ateuliwe na ujenzi uanze lakini, Hayati Magufuri alinijulisha kwamba zinatafutwa pesa kwa ajili ya ujenzi wa Mahakama pale Dodoma na siyo Chimala, Dar es Salaam". Amesema Profesa Juma Video na Hamis Mniha