У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kubrand biashara pamoja na changamoto za kuuza mtandaoni na website или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kulingana na teknolojia inavokua kwa kasi duniani, Biashara nyingi zimehamishiwa mtandaoni kwa sababu watu wengi wanashinda mtandaoni kwa kutumia vifaa mbalimbali kama simu, laptop, tablet na desktop pamoja na smart TVs kusearch na kujifunza vitu mbalimbali. Leo nipo na Mr. Mshana mtaalamu wa Kuuza bidhaa mtandaoni (Digital Marketing), Akituelezea kwa nini watu wengi hawauzi mtandaoni pia kwanini watu hawanunui mtandaoni, na nini kifanyike ili tutengeneze uamimifu kati ya muuzaji na wateja hapa Tanzania. Pia kama una changamoto ya kuuza bidhaa mtandaoni, pamoja na kurusha matangazo ya kulipia (Sponsored Ads) Wasiliana na Mr. Mshana kwa maelekezo zaidi +255 743 486 881 RodLine - Life is good