У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi Mafundi Wanavyopiga Pesa Site na Namna ya Kuzibaini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAWASILIANO: 📞 Simu: 0712 937 090 🟢 WhatsApp: 0765 937 090 📧 Email: info@mjenziwanyumbatz.com KUHUSU VIDEO HII: Ujenzi wa nyumba ni ndoto kubwa, lakini pia ni eneo ambalo watu wengi hupoteza fedha nyingi bila kujua kwa sababu ya ujanja wa baadhi ya mafundi. Katika video hii, tunakuonyesha mbinu 5 kuu wanazotumia mafundi kujinufaisha kimagendo na namna bora ya kujilinda ili uokoe mamilioni yako. UTACHOJIFUNZA: Mbinu ya 1: Jinsi mafundi wanavyochelewesha kazi makusudi ili kuongeza siku za malipo. Mbinu ya 2: Mitego ya kamishina kwenye maduka ya vifaa na jinsi ya kuiepuka. Mbinu ya 3: Ujanja wa kuongeza makadirio ya vifaa (mfano sementi na tofari). Mbinu ya 4: Namna ya kudhibiti wizi wa vifaa kwenye saiti (site). Mbinu ya 5: Jinsi ya kuzuia fundi kutoweka baada ya kupokea malipo makubwa. SULUHISHO LA KITALAMU: Ujenzi bora hauhitaji pesa nyingi tu; unahitaji usimamizi makini. Tunashauri kuwa na makadirio rasmi ya vifaa (BOQ) na kulipa kulingana na hatua ya kazi iliyofanyika. HUDUMA ZETU: Wasiliana na Mjenzi wa Nyumba TZ kwa: Ushauri wa kitaalam wa ujenzi Ramani bora za nyumba za kisasa Maandalizi ya BOQ (Makadirio ya Vifaa) Usimamizi wa ujenzi site "Mjenzi wa Nyumba TZ: Tunajenga kwa maarifa, sio kwa majaribio!" USISAHAU: ✅ Kusubscribe kwa elimu zaidi ya ujenzi ✅ Kulike video hii kama imekusaidia ✅ Kushare na wengine ili waepuke kupoteza pesa #Ujenzi #MjenziWaNyumbaTz #RamaniZaNyumba #Mafundi #OkoaPesa #TanzaniaConstruction #UshauriWaUjenzi #BOQ