У нас вы можете посмотреть бесплатно HII NDIO SIRI ADHIMU YA KUPATA CHEO, JAHA NA QABUL ❤️ | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🌟 Hili ndilo Siri Adhimu na Mujarabu ya Kupata Cheo, Jaha na Qabul! | Siri za Quran Tukufu | Mohamed Alidini ❤️❤️❤️ ➡️Je, unajua kuwa Qur'an Tukufu inahifadhi Surah, Ayah na Dua maalum za kukuwezesha kubadilisha yako yoyote? Leo tunakuletea siri hiyo! Kwa kutumia Surah na Dua hizi, utaweza kuvuka changamoto zako na kufanikisha malengo yako maishani. Hii ni siri ambayo wengi hawajui, lakini walioitumia wameona matokeo ya ajabu. Je, uko tayari kuijua? Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi kama haya ya Qur'an na siri za mafanikio! Safari ya kila mmoja wetu ni ya kipekee. Siri hii inaweza kuwa msaada unaohitaji kwa hatua yako inayofuata! ---------------------------------------------------------------------------------------- Maelezo yake: 📖 Surah: Ad-Dhuha (93) 📚 Ayah: 5. ----------------------------------------------------------------------------------------- Utaratibu wake: 📌 Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu. 📌 Jitayarishe na Uswali Rakaa 2 za Haja. 📌 Ukimaliza chukua Maji ya Waridi (Rose Water) soma kisomo kifuatacho: 📖 «بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ وَلَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللهِ» (100 مرة). 📖 «أَسْتَغْفِرُ اللَه رَبِّي وَأَتُوْبُ إِلَيْهِ» (110 مرة). 📖 «اللَّهُمَّ صَلِّ عَلى مُحَمَّدٍِ وَآلِ مُحَمَّدٍ» (110 مرة). 📖 «مَا شَاءَ اللهُ لَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللهِ» (110 مرة). 📖 ﱡﭐ وَلَسَوْفَ يُعْطِيكَ رَبُّكَ فَتَرْضَىٰٓﱠ (70 مرة). 📖 ثم ادع بهذا الدعاء مرة واحدة: (اللَّهُمَّ صَلِّ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدِ وَآلِ سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ وَأَصْحَابِ سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ مَا اخْتَلَفَ الْـمَلْوَانُ وَتَعَاقَبَ الْعَصْرَانِ وَكَرَّ الْـجَدِيْدَانِ وَاسْتَقْبَلَ الْفَرْقَدَانِ وَبَلِّغْ رُوْحَهُ وَأَرْوَاحَ ذُرِيَّتِهِ وَأَهْلِ بَيْتِهِ وَأَصْحَابِهِ مِنِّيْ الصَّلَاةَ وَالسَّلَامَ وَاقْضِ حَاجَتِيْ وَهِيَ (أذكر حاجتك) فَإِنَّكَ عَلى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرُ). 📌 Ukimaliza yapulizie hayo maji mara 7 kisha utumie kwa kuosha uso wako asubuhi na jioni kwa muda wa siku 3. 📌 Ukiweza Rudia haya kwa muda wa siku 2 & 3. ------------------------------------------------------------------------------------------ Shukran kwa kujisajili Channel yangu! ✅ Subscribe: / @mohamedalidini ✅ WhatsApp for Daily Videos: [Link] ---------------------------------------------------------------------------------------------- Copyright Notice: ► Every content we made are licensed to our channel. ► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed. ► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed. ► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission. ********************************************************************** Copyright © 2025 Mohamed Alidini. All rights reserved. **********************************************************************