Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA TANZANIA AIRBUS A220-300 в хорошем качестве

MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA TANZANIA AIRBUS A220-300 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA TANZANIA AIRBUS A220-300

Rais John Magufuli hii leo amewaongoza maelfu ya Watanzania kushuhudia na kupokea ndege aina ya Airbus #A220-300 ambayo itatumika kwa mara ya kwanza barani Afrika huku historia hiyo ikiwekwa na Tanzania. Mapokezi ya ndege hiyo yalifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Wengine waliohudhuria mapokezi hayo in pamoja na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Jaji Mkuu Ibrahim Juma. Wengine ni Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi na mawaziri kadhaa kiwemo waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe.

Comments