У нас вы можете посмотреть бесплатно MAISHANI: KEREGE ADVENTIST YOUTH CHOIR || Official Music Video 4K или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtunzi: Emmanuel Mpombe & Reyd Parmena || Simulizi: Wimbo huu wa MAISHANI umekuwa ni wimbo wenye tumaini kubwa kwa Kristo Yesu unapopitia changamoto za maisha. Mtunzi akiwa Hedaru alipata maono ya kuutunga akiwa katika nyakati ya huzuni kupitia kwa mtoto wa mjomba wake aliyeingiwa na sikitiko la kuhamishwa kanisa kwa ajili ya utume mahali pengine eneo hilo hilo, alijawa huzuni ya kutengana na wenzake katika kanisa alilozoea na ikapelekea kuomba atungiwe wimbo wa faraja na ndipo Mpwa wake ambaye anaitwa Emmanuel Mpombe alipopata maono akiwa dukani kwa mjomba wake na kutunga wimbo huu, baada ya kupewa auimbe aliona huzuni inamzidi hivyo aliuacha kuuimba na ndipo Reyd Parmena alipouomba aufundishe katika kwaya ya Kerege Adventist Youth na ukawa wimbo wa faraja kwa kwaya hadi kufikia kuurekodi. Barikiwa kwa simulizi hii fupi.