У нас вы можете посмотреть бесплатно Hisa Za Kampuni 10 Bora za Kuwekeza Tanzania! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unafahamu hisa za thamani ya juu kwenye soko la hisa la Dar es Salaam? Unaelewa tafsiri ya hisa zenye bei za juu. Nitakueleza tafsiri ya bei za juu za hisa. Pia nitakueleza thamani ya hisa za NMB Bank ambayo ni moja kati ya kampuni 10 zenye hisa za thamani ya juu. Unataka kuwekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam lakini HUNA WAZO jinsi ya kupata fedha nyingi? TULIA! HAUPO PEKE YAKO. Watu wengi wanaogopa Soko la Hisa... lakini hilo ni KOSA KUBWA! MTU YEYOTE, hata kama una kiasi kidogo cha pesa, unaweza kuanza kutengeneza faida ya ukweli. How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television 1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... 3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz 4. Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs