У нас вы можете посмотреть бесплатно UJENZI WA MABWAWA BORA YA SAMAKI+255745026287 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ufugaji wa samaki, unaweza fanya kwa kutumia Bwawa za kujenga na matofali Faida ya mabwawa ya kujenga na matofali 1. Hudumu mda mrefu sana 2. Ni mazuri Ikiwa mradi ni wa miaka mingi 3. Sio rahisi kuharibika sababu ya jua Vitu vya kuzingatia ili bwawa liwe imara zaidi 1. Hakikisha unamwaga zege kabla hujajenga kuta za bwawa 2. Hakikisha tofali unalaza sio kusimamisha 3. Ukijenga kozi 5, piga mkanda wa bwawaz kufanya bwawa liwe imara 4. Kwenye plasta hakikisha unaweka wire mesh kabla ya Plasta N.k Kwa elimu na ushauri, ujenzi wa mabwawa ya samaki (kujengea) Karibuni Makemba samaki Tech +255678940570 DSM-Tambani