У нас вы можете посмотреть бесплатно NJUWASA Kupanda Miti 80,000 Ya Kutunza Vyanzo Vya Maji,Mhandisi Lupoja Afunguka Walivyojipanga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAWIO TZ Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Njombe (NJUWASA) inatarajia kupanda miti 80,000 katika vyanzo vya maji nane vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo kwa lengo la kuendelea kutunza vyanzo hivyo ili kupata huduma ya maji endelevu. Mkurugenzi Mtendaji wa NJUWASA Mhandisi Robert Lupoja ameeleza hayo baada ya kukabidhiwa Miti 10,000 iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Deodatus Mwanyika kwa ajili ya kuzindua zoezi hilo January 27 kwenye chanzo cha Kibena zoezi linaloambatana na hafla ya kuzaliwa kwa Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan "Zoezi letu ni la miaka mitatu ambapo katika vyanzo vyetu vyote nane tunategemea kupanda elfu themanini kwa maana ya kila chanzo tutapanda miti elfu kumi"amesema Lupoja Akizungumza baada ya kukabidhi miti 10,000 iliyotolewa na Mbunge,Mratibu kutoka ofisi ya Mbunge Chrispin Kalinga amesema Ofisi hiyo imelazimika kuunga mkono jududi zinazofanywa na NJUWASA ambapo pia amewataka pia wananchi kushiriki zoezi hilo ili kuimarisha vyanzo vya maji. Nao baadhi ya wadau wa mazingira akiwemo Musa Lupenza kutoka One Voice Organization amepongeza juhudi zinazofanywa na wadau ili kurudisha na kutunza mazingira ambayo yameanza kuharibiwa. KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI Email: mawiotztv@gmail.com Simu: 0762684745 au 0674217445 Karibu sana