У нас вы можете посмотреть бесплатно Gen Z Wamtukuza Mtoto Wa Rais George Ruto – Lakini Wakenya Wasema: “Revolution Imeisha?” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uzinduzi wa matatu ya kifahari inayoitwa ‘Mood’ na George Ruto, mtoto wa Rais wa Kenya, umevutia hisia tofauti mitandaoni. Wakati baadhi ya vijana wa Gen Z walihudhuria tukio hilo na kusifia uwekezaji huo wa kisasa, sehemu nyingine ya Wakenya wamechukizwa na kile wanachokiita usaliti kwa vuguvugu la mabadiliko. Matatu hiyo ina huduma za hali ya juu kama Air Conditioner, Charging Ports, Cup Holders na viti vya starehe, lakini baadhi ya Wakenya wanasema pesa zilizotumika ni ushuru wa wananchi wanaoteseka. Video hii inakuonesha kauli kali kutoka kwa raia, vijana na wachambuzi kuhusu tukio hilo. Je, vijana wanatumika kisiasa bila kujua? Je, huu ni uwekezaji wa kweli au propaganda ya kisiasa kuelekea 2027? Tazama hadi mwisho ujue ukweli wote. 👉 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa habari moto kila siku! #GeorgeRuto #MatatuCultureKenya #GenZRevolution #KenyaPolitics #MoodMatatu #MizukaMedia