У нас вы можете посмотреть бесплатно NI KWELI MALI ZA KANUMBA ZIMEPOTEA? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Subscribe / uwazi1 Mama: Mali za Kanumba hazijapotea ! Kufuatia maneno yanayozagaa mitandaoni kuhusiana na kupotea kwa mali alizoziacha, Steven Kanumba, ambaye alikuwa muigizaji nguli nchini, mama yake mzazi, Flora Mtegoa, amesema kuwa kila kitu alichokiacha mwanaye kipo mikononi mwake na hakuna kilichopotea. Maneno ya kupukutika kwa mali za Kanumba, hususan vifaa alivyokuwa akivitumia kwenye kazi zake ikiwemo kamera na vifaa vingine, ambavyo vilikuwa chini ya uangalizi wa muandaaji wa filamu aliyekuwa akifanya kazi na marehemu, Zakayo Magulu, yalizuka ghafla mitandaoni baada ya kampuni yake ya 'Kanumba The Great Film' kukaa muda mrefu bila kutoa kazi. “Mimi sipo mitandaoni lakini kuhusu suala la vifaa, vyote vipo na mimi ndio msimamizi wa mali zote za marehemu mwanangu,” alisema mama Kanumba. FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. . FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .