 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно 'Nilipewa dawa ili nirefuke' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
‘Nina urefu wa sentimita 85, mimi ni mfupi sana’ Alice Mbere, 27, kutoka nchini Kenya, alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka mitano wazazi wake walibaini kuwa hana urefu wa kawaida na kuanza kutafuta ushauri kupitia madaktari tofauti. Alice ana urefu wa sentimita 85 pekee na mmoja kati ya watu wafupi zaidi nchini Kenya. Je, kimo chake kimekuwa na changamoto zipi? Alimsimulia Hamida Abubakar katika Waridi wa BBC. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili