У нас вы можете посмотреть бесплатно Rapcha - Interview (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
To The Top Vol.1 (Special Edition) Stream & Download: https://bit.ly/3xRmbjb TRACK #2 INTERVIEW LYRICS: Asubuhi flani ya hang over bwii Nani tena huyu ananipigia saa hii Napapasa kuitafuta simu mpaka naikamata, macho kwenye screen naona jina “GACHI B” We mshezi una balaa hatari Sjui zilikua ni tungi au vijiti walimix wale Uliwaka ukavamia dem wa mtu ukamshika shika Na ukawa unaforce kumkiss eti palepale Nlijua lazma utani-roast Sjawahi waka vile mpaka ikatokea hadi data zime-lost Mchizi alinitwika ngumi bufff kwenye mdomo yani nkahisi nmepoteza meno yote on the spot Usingeweza kutoboa pale Ilibidi ncheki gap tuchomoke tukimbie mbali Nlikudrop kwako ukanambia nkushtue mapema Una interview ya kazi leo katafte ugali Ayaaa nahisi nshachelewa Duhh mchongo bado nusu saa nkichelewa hawatonielewa Umetisha kunishtua acha niwahi chap nkawaskie nikitoka ntadondoka studio oyeah Haya Mswaki dakika moja, kuoga dakika moja Suruali ya kitambaa imejikunja na iko moja Ila haya yote ningeandaa tangu jana isingekua kazi fresh nitanyoosha daika moja Naboost simu isinizimikie nkiwa njiani Muda unaenda sana sa inabidi ntoke ndani Navaa chap uber njoo nifate sinza vatcani Sina muda wakuelekeza fata ramani Dakika mbili uber akafika Madevera smart kama wewe mjini ndo wanahitajika Skia Nirushe chap posta pale 99 plaza ntakuongeza buku 5 tukiwahi kufika Palepale kwanza dreva kawaka Daah leo ka bahati yani mzee wa lissa nimekunyaka Hivi kwenye ule wimbo ulipigwa kweli? Sioni hata makovu na ile story vipi ishakukuta kweli!?? Sasa hapa ndo tutapochelewa Focus yako iwe kwenye kuniwahisha na sio kuongea Mgenilipa kama mnavyonisifia Saivi nsingekua busy kutafuta kazi nisiyoielewa Hii ndo shida ya wasanii bongo Mbele ya camera wapole sana na kujisifia uongo Mnasema mnatupenda mashabiki Ila tunapokutana mnatutreat kama vile tunanuka shombo Na ndo shida ya mashabiki wa bongo Mnapenda tu kupuuzia ukweli na kuamini uongo Mnasahau ka na si ni binadamu kuna muda tuna stress zetu mtuvumilie kidogo Muda unaishia afu bado kuna umbali Nikamlipa dreva nikashuka kwenye gari Psss psss boda niwahishe posta chap tu Zimebaki dakika 5 ufike muda wa interview Mbio mbio mpaka destination Zimebaki dakika mbili tu afu mchiz ndo naingia reception dada wa mapokezi akafurahi aliponiona Si akataka alete story nkaona ananichoma Nkiwa palepale reception Najibizana huyu sista, haki nimechoshwa na questions Wakaingia watu wawili ndani yule dada alivyowasalimia ikabidi nkae attention Nageuka nione kuna nani Ndo namuona yule dada ambae jana nilimfata nkamletea uhuni Pembeni yake kaongozana na mumewe alieyataka kunitoa meno na ndio boss wa kampuni Ilinichukua ka nusu sekunde kukumbuka ule uzito wa ile ngumi kwenye lile tukio Nkakamata bahasha ya vyeti vyangu kwa makini nkatazama mlango ulipo vvvuuum nkatimua mbio Audio produced & mixed by: / gachib Video directed by: / majagiking Apple Music: https://apple.co/3Hs0oBy Spotify: https://spoti.fi/3MXGyiJ Join Our Family: / rapcha_tz / rapcha_tz / rapcha_tz #rapcha #interview #tothetopvol1specialedition