У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais SAMIA Azindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025 | FMB TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dodoma, Tanzania – Katika hatua ya kihistoria inayolenga kuimarisha misingi ya demokrasia na utawala wa sheria nchini, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo imeundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Tume hii imeundwa kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan chini ya Kifungu cha 3 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania. Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu siasa na maendeleo ya taifa letu.